November 24, 2024, 10:01 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI NA TEKILOJIA ALIPONGEZA JESHI LA MWANANCHI KWA KAZI ZURI.
Kigoma: Waziri wa Elimu, Sayansi na Technologia Mh. Joice Ndalichako amekagua ujenzi wa shule ya Grand High School Iliyopo wilaya ya kasulu, mkoani kigoma ambapo amelipongeza jeshi la wananchi Tanzania kwa kazi zuri wanaoifanya ya ujenzi wa shule hiyo.
Ujenzi wa shule unagharamiwa na wizara ya elimu,sayansi na teknolojia kupitia mradi wa lipa kulingana na matokeo P4R.
Ambapo katika ukanguzi na ufuatiliaji na ujenzi wa shule hiyo waziri wa elimu alioambatana na kaimu mkuu wa wilaya ya kasulu Marco Gaguti, mratibu wa mradi walipa kulingana na matokeo P4R Gerald Mweli, na Msanifu wa majengo wa wizara ya elimu ,sayansi na Technolojia Hirst Ndisa.