- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI MKUU WA PAKISTAN NAWAZ SHARIIF AMEJIUZULU
Dar es salaam: Waziri mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif amejiuzulu kufuatia baada ya uwamuazi wa mahakama kuamua baada ya uchunguzi kuhusu utajiri wa familia yake na ufichuzi wa mwaka 2015 wa Panama Papers, uliowahusisha watoto wake na akaunti za benki ugenini.
Ripoti maarufu inayofahamika kama Panama Papers ilieleza kuwa, Sharif alikuwa ni miongoni mwa watu wengine mashuhuri duniani waliohusika katika sakata hilo.
Panama ni taifa dogo katika bara la Amerika ya Kati.
Hata kabla ya kutolewa kwa uamuzi huu, Sharif amekuwa akikanusha kuhusika katika sakata hilo.
Waziri wa mambo ya ndani nchini Pakistan Chaudhry Nisar Ali Khan, alimshauri Bwana Sharif kukubali uamuzi wa leo.