November 26, 2024, 11:33 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI JAFO AAGIZA KULETWA MABASI 10 YA MWENDOKASI
Waziri wa Tamisemi,Selemani Jafo, amesema haridhishwi na huduma za mabasi ya mwendokasi na kumuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Mhandisi Leonard Lwakatare ayaongeze mabasi 10 aina ya Feeder Road maarufu kama Bombardier ili kuwaondolea adha ya watumiaji wa usafiri huo.
Kauli hiyo ya Jaffo ametoa leo Ijumaa Machi 15 wakati Akizungumza na Waandiishi wa habari baada ya Juzi kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye Radio na Televisheni kuonesha jinsi wakazi wa kimara walivyokuwa wanapata adha ya Usafiri huo.