- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI IRINGA
IRINGA: Watu wawili wa Mamlaka ya Serekali TARURA wamefariki Dunia baada ya kutokea ajali gari, baina ya Gari lenye namba za usajili STL 3807 aina ya toyota hilux mali ya TARURA liligongana uso kwa uso na gari lenye namba za usajili T 146 BAZ aina ya mitsubish fuso mali ya Wilson.
Ajali hiyo imetokea leo majira ya saa5 na dakika 45 asubuhi tarehe 25..06.201 katika eneo la Izazi kata ya Izazi katika mkoa wa Iringa kwenye barabara kuu ya Iringa-Dodoma
waliofariki ni Lodrick s/o Richard Ulio ambaye ni dereva wa TARURA na Joyce d/o Enezar Mlay, miaka 45, kabila mchaga mkazi wa Moshina walionusurika kifo ni 1.Ernests/o Mgeni, miaka 49, kabila mkinga na mkazi Mbozi 2.Gervas s/o Myovela, miaka44, kabila mhehe mkazi wa Mbozi 3.Jamadin s/ Mikata, miaka 32 ,kabila mngoni na mkazi wa Mbozi Wote walikuwa kwenye gari la TARURA na wamehamishiwa hospitali ya rufaa Iringa kwa matibabu.
Aidha, miili ya marehemu imekabidhiwa kwa meneja wa TARURA manispaa Iringa na kupekekwa Dodoma tayari kwa utaratibu wa mazishi.
Chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva wa fuso kushindwa kulimudu gari lake na kusababisha kuhama upande mmoja na kugongana uso kwa uso ambaye amekimbia mara baada ya ajali hiyo na anatafutwa.