Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 4:36 am

NEWS: WATU 32 WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAUJI YA WANAWAKE 5

TABORA: Watu 32 wakiwemo viongozi wa serikali ya kijiji na kata wamefikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji ya wanawake 5 yaliyotokea katika kijiji cha undomo kata ya uchama wilaya ya Nzega mkoa Tabora .

kwa mujibu wa mahakama kesi hiyo imeahirishwa hadi september 4,itakapotajwa tena na muda wote wakati washtakiwa wakisomewa mashtaka dhidi yao.