November 26, 2024, 2:53 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAPINZANI NA WANAHARAKATI 41 WAFILISIWA NCHINI BURUNDI
Mahakama kuu nchini Burundi Sambamba na mwendesha mashtaka wa serikali wa nchi hiyo wametoa amri ya kuzitaifisha mali za wapinzania na wanaharakati 41 wanaoikosoa serikali ya Rais Piere Nkurunzinza.
serekali imewaagiza kuwa ifikapo Tarehe 15 May, wametakiwa kuwasilisha mali zao na kuteketezwa na serikali.
waliokubwa na kadhia hiyo ni wanasiasa wa zamani, wanaharakati wa haki za kibinadamu na waandishi wa habari, pamoja na afisa wa jeshi ambao wamefungwa jela nchini humo.
Hatua hiyo imekosolewa na kudaiwa kuwa njama nyingine ambayo serikali ya Pierre Nkurunziza ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.