November 26, 2024, 11:34 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: UIGEREZA YASHINDWA KUJITOA UMOJA WA ULAYA
Waziri Mkuu nchini Uingereza Bi Theresa May amepata pigo jingine kubwa baada ya wabunge kufutilia mbali mpango wake wa makubaliano na Umoja wa Ulaya kuhusu Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya.
Hali hiyo inatokea ikiwa imesalia siku 17 kabla ya kumalizika kwa muda uliyopagwa kuhusu mchakato wa Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya.
Mpango huo umekataliwa kwa kura 391 dhidi ya 242 na kuzua hali ya sintofahamu kwa Uingereza kwa mchakato wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya.
Baada ya kura hiyo ya Jumanne, Waziri Mkuu Theresa May amesema kuwa makubaliano hayo na Umoja wa Ulaya yalikuwa moja ya njia nzuri katika mchakato wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya.