November 25, 2024, 1:50 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: UCHUMI WA DUNIA WATARAJIA KUPOROMOKA
Shirika la fedha la kimataifa IMF limetabiri ukuaji wa uchumi duniani utaongezeka kwa asilimia 3 tu mwaka huu, ikiwa ni kasi ndogo kabisa kuwahi kutokea tangu mdororo wa uchumi wa mwaka 2008/09.
Shirika hilo linatarajia ukuaji kuongezeka kidogo hadi asilimia 3.4 mwaka ujao lakini ni kwa sababu tu ya ukuaji mzuri wa uchumi kama wa Uturuki na Argentina ambao kwa sasa unapitia katika hali ngumu.
Kasi ndogo imeonekana duniani kote na inatuwama katika utengenezaji bidhaa, uwekezaji na biashara wakati ongezeko la ushuru na hali ya kutokuwa na hakika na sera vimeathiri kujiamini kwa biashara pamoja na uwezo wa wanunuzi katika ununuzi wa magari Duniani.