- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TUNDU LISSU AWATOLEA UVIVU MAWAKILI WALIOGOMEA TAMKO LAKE
Dar es salaam: Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa chama cha mawakili Tanzania Bara TLS Tundu Lissu ameonesha kusikitishwa kwake na Kuumizwa kwa uwamuzi wa Mawakili wenzake kugomea Tamko la viongozi wa TLS La kuwataka kufanya mgomo wa kutofanya kazi ya uwakili kwa siku mbili mfulululizo(Juma tatu na Juma nne), akiandika kwenye ukurasa wake wa Instagram Lissu amesema kuwa Majaji na Mahakimu 400 Nchini Uganda waliwahi kufanya mgoma kwa sababu tu ya mazingira mabovu, na chama cha mawakili Uganda waliwaunga mkono uwamuzi wa mahakama na hapakuwepo mtu aliyeulaumu uwamuzi juu ya maamuzi ya Mahakama na Mahakimu hao\
"The Ugandan judges and magistrates, over 400 of them, are striking over poor conditions, The Uganda Law Society is in full support of the striking Judiciary. No one is condemning the Ugandan judiciary and lawyers for being activists" alisema Lissu. aliongezea kwa kusema kuwa hakuna kati yao mawakili waliogomea uwamuzi wa viongozi wao kila mmoja aliheshimu maamuzi "No one ever pauses to reflect on how Kenyan lawyers have attained that position of respect and power "
Lissu pia amejaribu kuoanisha matukio mawili yaliyowahi kutokea katika ardhi ya Tanzania Juu ya uhuru wa mawakili kuwa wapo mawakili waliopewa kesi za uhaini na wengine walipotea machi 2015 na bado tunajifanya hatuoni maovu hayo, "Here in Tanzania lawyers have been murdered in cold. TLS and we members kept silent. An advocate has been missing since March 2015 and he may have been abducted and murdered by his captors. We've pretended to see or hear no evil."
pia kunamatukio ya kulipuliwa kwa ofisi ya Chama cha mawakili Zanziber na kuharibiwa vibaya lakini hakuna kauli yoyote kutoka kwa Mawakili "The law offices of the President of the Zanzibar Law Society were bombed and damaged last year. No statement whatever came from any one of us Tanzanian lawyers"
Lissu amesema kuwa yeye amechanguliwa kwa lengo la kuisemea TLS na kutokukaa kimya juu ya itakayovunja misingi ya kisheria "
I was elected with a promise to lead a TLS that doesn't hide behind excuses in the debate on the affairs of our country.I promised a TLS that doesn't tolerate or condone abuses of its members' rights."