- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TAREHE YA UCHAGUZI NCHINI KENYA YAJULIKANA RASMI
Nairobi: Tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imetangaza Tarehe rasmi ya uchaguzi ambao umepangwa kufanyika Tarehe 17 October 2017 na hii inakuja baada ya Mahakama ya Juu nchini kenya (supreme court ) kufuta matokeo ya urais nchini humo mnamo Tarehe 1 Septemba mwaka huu.
Mahakama hiyo ilitenguo Ushindi wa Uruhu Kenyatta baada ya Mgombea wa muungano wa upinzani NASA Laila Odinga kupeleka kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika Tarehe 8 August mwaka huu ambapo Odinga anadai kuwa ulilikuwa umegubikwa na udanganyifu na Dosari kadhaa.
Rais Kenyatta alilaani Uwamuzi uliofanywa na Mahakama hiyo kwa kutengua uwamuzi uliofanywa na wakenya wengi juu ya Rais wamtakae lakini rais Kenyatta alikubaliana na maamuzi hayo na yupo tayari kurudi kwenye Uchaguzi October 17 mwaka huu.
Uchaguzi huu umekuwa faida kwa Mgombea wa muungano wa upinzani NASA Laila Odinga kwani kwenye uchaguzi wa awali alishindwa na Rais Uhuru kenyatta