Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 9:22 am

NEWS: TAARIFA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI KUEPUKA UTAPELI UNAFANYWA KUPITIA SIMU ZA MKONONI.

Kutokana na kile kinachoendelea kuhusiana na sakata la vyeti feki kwa baadhi ya watumishi wa umma kutumbuliwa kumezuka utapeli kwa watumishi wa umma kupitia simu ya mkono kuomba kuweka miadi ya kufanya kazi na serikali ofisi ya rais menejimeti ya utumishi wa umma na utawala bora imetoa taarifa kuepuka utapeli huo.