Home | Terms & Conditions | Help

November 25, 2024, 12:18 pm

NEWS: STAR TV NA REDIO FREE AFRICA ZAFUNGIWA NA TRA

Mwanza: Kampuni ya habari ya Sahara Medea Group inayomiliki vituo vya Habari vya Star TV, kiss fm na RFA imefungiwa ofisi zake za habari na mamlaka ya mapato Tanzania ( TRA) kwa kosa la kutokulipa Deni la Tsh 4.5Bilioni, TRA wamefunga ofisi hizo kupitia wakala wao Sukah Auction Mart na Court Broker ya Jijini Mwanza.

Sahara Media Group Kupitia Meneja wa Utumishi na Utawala Bi Raphael Shilatu amesema kuwa nikweli tunadaiwa kiasi hicho cha pesa kulingana kuhama kutoka kwenye mfumo wa Analogia kwenda Digitali, Raphael amesema kuwa Sahara media haijashindwa kulipa, ilikuwa kwenye mchakato wa kulipa pesa hiyo.