- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SHAMRASHAMRA ZA MUUNGANO ZA IVA
Dodoma: Ikiwa leo ni april 26 ni siku ya maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Ambapo viongozi mbalimbali wanatarajiwa kuwasili mjini hapa, ili kuweza kushiriki kwenye jamba hili muhimu la kitaifa.
waheshimu na waageni pamoja na waziri mstaafu Mizengo Pinda amewasili wanaendelea kuwasilii lakini hapo baadae kutakuwa na machi ya mpira kati ya Yanga sport club na polisi Dodoma kiingilio ni vip 10 viti vya kawaida elf 5000 na elfu 3000
.Lakini pia kutakuwa na michezo mabalimbali ikiwamo na ngoma kwaya ya nyimbo za injili kutoka mwanza itaimbawawananchi wote mnakaribishwa. kumbukumbu zinaonesha kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili, 1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja).
Tanganyika ilikuwa ni mwendelezo wakoloni la Ujerumani, utawala wa Waingereza kwa Mamlaka ya Umoja wa Mataifa, Himaya ya Umoja wa Mataifa chini ya utawala wa Uingereza na mwisho Taifa huru kuanzia mwaka 1961 ndani ya nchi za Jumuiya ya Madola.
Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ziliingia mkataba wa Muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkataba huu wa Muungano ulitiwa saini na aliyekuwa Rais wa Tanganyika, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume tarehe 22 Aprili 1964 huko Zanzibar. Mkataba huo ulithibitishwa na Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi hapo tarehe 26 Aprili, 1964 na mnamo tarehe 27 Aprili, 1964, viongozi wa nchi zote mbili walikutana katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es