- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SERIKALI KUJA NA MABADILIKO SEKTA YA ELIMU
DODOMA: Serikali imesema itafanya marekebisho makubwa katika taasisi ya elimu ili kutengeneza vitabu vinavyoweza kutumika vizuri bila matatizo kama sera ya elimu inavyoagiza.
Waziri mkuu kassim Majaliwa amesema hayo leo bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la nyongeza la mbunge wa VunjoJames Mbatiajuu ya kudhibiti ubora wa vitabu vya Ziada na Kiada katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa waziri mkuu Bungeni mjini Dodoma.
Waziri mkuu amesema tatizo sio sera ya elimu kama alivyosema mbunge Mbatia lakini kuna tatizo kwa watengeneza vitabu wenyewe hali ambayo amesema imeanza kushughulikiwa na waziri wa elimu pamoja na serikali yote kwa ujumla kwa kuwashughulikia pia watendaji wasiosimamia vema sera ya elimu.