November 26, 2024, 3:48 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI YATINGA BILIONI 200 UKARABATI MTO MSIMBAZI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo May 14 ,2019 ametembelea maeneo kadhaa ya jiji la Dar es salaam na kujionea jinsi mvua zilivyo athiri Nyumba na miundombinu ya wananchi wa mkoa huo huku akisema Serikali imeanza kufanya ukarabati wa miundombinu iliyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ikiwemo madaraja, barabara, mito na mifereji.
Pia RC Makonda amewahahakikishia wananchi kuwa pesa ipo tayari kwa ajili ya kufanya ukarabati kwenye maeneo mbalimbali yakiwemo mto msimbazi wenye urefu wa KM 19 na eneo la Jangwani ambalo maboresho yake yatagharimu zaidi ya shilingi BILIONI 200 ikiwa ni mkopo kutoka Bank ya Dunia.