- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI YAPIGA MARUFUKU MATANGAZO MICHEZO YA KUBAHATISHA
Dar es Salaam: Bodi ya Michezo ya Kubahatisha imezuia kwa muda urushwaji wa matangazo ya michezo hiyo kupitia redio na televisheni. Bodi hiyo imedai kuwa matangazo hayo yamekuwa mengi kiasi cha kuharibu taswira ya mchizo hiyo na kuwaathiri vijana zaidi.
Taarifa ya bodi hiyo ya Januari 23, 2019 iliyosainiwa na kaimu mkurugenzi mkuu, James Mbalwe inaeleza kuwa hatua ya kusitisha matangazo hayo ni kutokana na malalamiko miongoni mwa wananchi juu ya kukithiri kwa matangazo kwenye vyombo hivyo vya habari.
“Kumekuwa na ongezeko la malalamiko kutoka kwa umma juu ya kukithiri kwa matangazo ya michezo ya kubahatisha hapa nchini,” inaeleza taarifa hiyo. “Bodi imesitisha kwa muda urushaji wa matangazo ya michezo ya kubahatisha kupitia redio na tel