- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI YA KENYA KUISHTAKI BENKI YA DTB KWA UGAIDI
Nairobi: Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchjni Kenya amepanga kuishtaki Benki ya Diamond Trust (DTB) kwa tuhuma za kuufadhili ugaidi nchini humo.
Serekali ya Kenya inaituhumu benki hiyo baada ya mmoja ya watu waliohusika katika shambulio la Dusit lililoua Watu 21 aliruhusiwa kutoa kiasi cha Shilingi za Kenya Milioni 5 kutoka benki hiyo kwa siku moja
Hassan Nur alitoa mara 13 fedha kutoka Katika Benki hiyo zilizotumika kufanikisha shambulio hilo
Fedha hizo zinaelezwa kuwa zilitumwa kutoka Afrika Kusini na baadae kuzituma kwenda nchini Somalia.
Tayari benki hiyo imeshatoa taarifa juu ya utaoaji wa pesa hizo .
Meneja mkuu wa Tawi la DTB Eastleigj branch Bi Sophia Mnogo ameshakamatwa na jeshi la polisi nchini humo akisubiri kupelekwa mahakamani.