- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAILA ODINGA NA WENZAKE WAPIGWA MARUFUKU KENYA
KENYA: Jaji mkuu nchini Kenya David Maraga ameuomya uongozi wa National Super Alliance (NASA) kwa kutoa matamshi dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC na idara ya mahakama nchini humo Kuwa inampango wa kumpendelea Uhuru kenyatta kwenye uchaguzi ujao.
Raila odinga akiogea dhidi ya IEBC
Maraga aliwaonya NASA kwa sababu ya matamshi yao wanayo endelea kutoa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na idara ya mahakama ya nchini kenya baada ya rufaa iliyo wasilishwa katika mahakama kuu ya Rufaa ikipinga maamuzi yaliyo tolewa na mahakama kuu ya nchini kenya.
Muungano wa NASA
Mahakama Kuu ilitoa uamuzi kuwa matokeo ya urais yanayotangazwa katika hatua ya jimbo la uchaguzi kuwa ni ya mwisho na hayawezi kubadilishwa katika makao makuu ya tume hiyo.Tume Huru ya Uchaguzi ilienda katika Mahakama ya Rufaa kupinga uamuzi huo wa mahakama kuu, ambao kwa kiasi kikubwa ulikuwa unaungwa mkono na NASA pamoja na vyama vingi vya upinzani nchini humo. Sasa NASA imetishia kususia uchaguzi Agosti 8 iwapo mahakama ya rufaa itabatilisha uamuzi huo
David Maraga
Maraga alisema "Sitajibu matamshi ya kiholela kutoka kwa wanasiasa wakati wa kipindi cha kampeni. Nataka Wakenya wawe na imani na idara ya mahakama kama taasisi huru na isiyo na ubaguzi,β