- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Raia wa 4 wa Ethilopia wakamatwa Dodoma kuingia nchini bila kibali
Dodoma: Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Lazaro Mambo sasa ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa kwa jeshi la polisi na kufichua wahalifu wanaofanya biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu.
Mambosasa ameyasema mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari mnamo tarehe 12/4/2017 Majira ya saa 14:30Hrs huko eneo la Chipogolo wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma walikamatwa wahamiaji haramu wanne [4] raia ya nchi Ethilopia [Wahabeshi] wote ni wanaume kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. watu hao walikuwa wakisafirishwa kwa gari lenye namba usajili T.331 BGN TOYOTA COSTAR Linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Iringa, likiendeshwa na Dani Fweda miaka 35,mkazi wa Iringa.
Raia Hao waliokamatwa ni.
1. Kabebe Abrello ( 25)
2.Abdela Tamam (22)
3. Abberehem Abo (22)
4..Temegen Gatiachen (26).
pia katika tukio hilo walikamatwa watu watatu ambao ni raia wa watanzania ambao walihusika kuwasafirisha wahamiaji hao haramu Raia wa Ethiopia ambao ni Abdallah Omary (45) mkazi wa Arusha , Dan Fweda (35) mkazi wa Iringa ambaye ni dereva.
pia alimtaja Fabiani Mnyawami (30) ambaye ni tingo mkazi wa Iringa.