Home | Terms & Conditions | Help

November 25, 2024, 5:43 pm

NEWS: POLEPOLE AKASIRISHWA NA HABARI YA BBC DHIDI YA RAIS MAGUFULI

Dar es salaam: Katubu wa Itikadi na wenezi wa chama cha mapinduzi CCM na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphry Polepole amesikitishwa na kitendo cha kituo cha Televisheni cha Uigereza cha BBC kwa madai ya kusambaza habari za uwongo dhidi ya Rais John Pombe Mgufuli,

BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake cha Africa Highlights jana juma nne Tarehe (25 July 2017) kuwa Tundu Lissu anashtakiwa kwa madai ya kumwita Rais Magufuli Dikteta na Anatoa vyeo kwa upendeleo kwa kufuata watu wa kanda yake,

Kufuatia Habari hiyo Polepole akalaani na kukitaka chombo hicho kiache kusambaza habari za Uwongo na kuwataka wasome vizuri Hati ya mashtaka dhidi ya Lissu "Acheni kusema uwongo, mmesoma hati ya mashtaka? aliuzliza Polepole. nakusema kuwa chombo kama BBC hakipaswi kuandika habari za uwongo "taasisi kama yenu haipaswi kuandika unverified hbari. its unfortunate and saad" alisema polepole kupitia Account yake ya Twitter