- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: NSSF,PPF KUUNGANA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA SUKARI NCHINI
DODOMA: SERIKALI imesema kuwa kupitia Mifuko ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PPF inatarajia kujenga kiwanda kikubwa cha Sukari na hivyo vijana wengi watapata ajira.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wan chi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,kazi,vijana,aj
Mbunge huyo alitaka kujua nini mkakati wa Serikali katika kuhakikisha vijana wanajiajiri wenyewe hususani katika kilimo kutokana na vijana wengi kusoma lakini hawana ajira na wanazagaa mtaani licha ya kuwepo kwa mapori makubwa ambayo yapo wazi.
Akijibu swali hilo MAVUNDE amefafanua kuwa lengo la Serikali ni kuhakikisha inawawezesha vijana kujiajiri kwa kuwawezesha kiuchumi.