Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 3:51 am

NEWS: MUHASIBU WA HALIMASHAURI AHUKUMUWA MIAKA 7 JELA

Dar es salaam. Naibu msajili wa Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha John Mkwabi amemuhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halimashauri ya Simanjiro Mkoani Manyara Peter John Mollel Kifungo cha miaka Saba Jela Kwa makosa ya 11 yakiwemo ya wizi, na matumizi mabaya ya Madaraka na Udanganyifu.

Watuhumiwa wa Ugaidi Arusha wapandishwa kizimbani | East Africa ...