November 27, 2024, 4:38 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MMILIKI WA MABASI YA MWENDOKASI KORTINI KWA UTAKATISHAJI WA FEDHA
Dar es salaam: Mmiliki wa Mabasi yaendayo kasi( UDART), Robert Kisena mwenye umri wa miaka 46 na wenzake watatu wamefikishwa Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka 19 likiwemo la utakatishaji fedha kiasi cha Shilingi Mil. 603 na kuisababishia kampuni hiyo hasara ya Tsh Bil. 2.41,
Kisena ambaye ndiye mkurungenzi mtendaji wa Kampuni Simon group of Company inayomiliki mabasi hayo yeye na wenzake wamerudishwa rumande na kesi imeahirishwa hadi February 23, 2019 itakapotajwa tena.