- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: Mkurungezi wa manispaa atema cheche idadi ya watumishi hewa waliotumbuliwa.
Dodoma: Mkurungezi Wa manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi amesema mpaka sasa hawajapokea barua yoyote kuhusu kuwaondoa kazi watumishi hewa ambao walitumbuliwa Rais Wa jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Ameyasema hayo leo mjini Dodoma wakati Wa kikao cha baraza La madiwani kuhusu taarifa ya utekelezaji Wa robo ya pili ya mwaka 2016/17 amesema mpaka sasa watumishi hao wameshajiondoa kazini ambapo wametekeleza agizo la Rai,
Lakini pia ametaja idadi ya watumishi hewa waliotumbuliwa Kwa halmashauri ya manispaa ya Dodoma ni 79 wenye vyeti feki.
Ameongeza kuwa kwa mtumishi yoyote mwenye malalamiko kuhusu vyeti vyake kwa mujibu Wa ofisi ya raid menejimeti ya utimishi na utawala bora.
Naye diwani wa kata ya kikombo mjini Dodoma Wendo Kutosha amesema Zahanati ya kikombo inawafanyakazi wengi ila wengi wao wamenda masomoni mpaka sasa kulikuwa na watumishi watatu moja mjamzito ni sabababu ya yeye kushindwa kufanya kazi na wapili amevunjika mguu yuko nyumbani na watatu ni miongoni mwa wahanga wa vyeti feki kwa hospital haina waunguzi na hamna magari ya kusaidia wagonjwa,
Kwahiyo ameiomba serikali ifanye haraka katika suala la kuajiri watumishi ili waweze kuwasaidia wananchi.