Home | Terms & Conditions | Help

November 27, 2024, 1:18 am

NEWS: MEYA WA UBUNGO KUZUNGUMZIA SAKATA LA VYETI FEKI DHIDI YA RC WA DAR.

DAR ES SALAAM: Meya wa ubungo CHADEMA Bonifance Jacob amesemakuwa kesho atafika katika ofusi ya sekretarieti ya maadili ya utumishi wa Umma kuzungumzia shauri lake vya vyeti dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.

Akizungumzia na wananchi leo jumatano Jacob amesema wiki iliyopita amepokea barua kutoka sekretarieti wakamtaarifu wiki hii ndiyo wanalifanyia kazi shauri lake.

‘’wananitaka kwamba baadhi ya mabo niliyoongea wananitakanamimi nipuleke vielelezo vya ufafanuzi lakini kimsingi ni mambo mapya , yaani kana kwamba mtuhumiwa wangumambo ya vyeti amekiri amekubali’’ amesema Jacob