- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MASHOGA WATIMULIWA NCHINI NIGERIA
Serekali nchini Nigeria imewataka watu wote wanaojihusisha na mapenzi ya Jinsia moja kuondoka kwa hiyari yao nchini humo vinginevyo washtakiwe kwa kuvunja sheria za nchini.
Msemaji mkuu wa Jeshi la Polisi la Nigeria, Dilapo Badmos amewataka wananchi wenye ushahidi wa watu wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia mmoja watoe taarifa kwa jeshi la Polisi nchini humo.
Tarifa hiyo ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye wafuasi 125,000
."kama unajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, hapa Nigeria sio sehemu yako. Kunasheria (same-sex prohibition Act) ambayo inakataza makundi(club), taaasisi, na jumuia za watu wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja na ukibainika kifungo chake ni miaka 15 jela" alisema Badmus"kama wewe unauhalisia huo, ni bora uondoke nchini au ufunguliwe mashtaka" lakini kabla ya kusema kuwa 'hii ni ishu kwani ?' nakutaarifu kuwa chochote kinachokwenda kinyume na sheria ni kosa na unatakiwa kiadhibiwa" alimalizia afisia huyo.