November 25, 2024, 7:43 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MARUFUKU KUKUSANYIKA USIKU MKURANGA
PWANI: WILAYA ya Mkuranga mkoani wa Pwani, imepiga marufuku mikusanyiko ya usiku vikiwamo vikao.
”Mikusanyiko ya usiku isifanyike ikiwamo na kutofanya vikao ndani vifanyike nje maeneo yaliyo ya wazi,” alisema.
Ingawa hakufafanua lengo la marufuku hiyo, lakini wilaya hiyo na wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani zimekuwa zikikumbwa na matukio ya mauaji mara kwa mara, hali iliyosababisha kuanzishwa kanda maalum ya kipolisi ya Rufiji ikijumuisha wilaya hizo.
Aliongeza kuwa zuio la pikipiki kutembea usiku lipo palepale.Sanga alisema kutokana ongezeko la ajali za bodaboda na kwamba utaratibu huo wa serikali una lengo la kuhakikisha zinapungua.
Alisema ajali za mabasi zimepungua, lakini ajali za pikipiki zipo nyingi,” alisema.