November 25, 2024, 7:32 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAREKANI YAITAKA TANZANIA KUFICHUA MATOKEA ALIYEFARIKA KWA EBOLA
Waziri wa maswala ya Afya wa Marekani Alex Azar ameitaka serikali ya Tanzania kuweka wazi matokeo ya Kimaabara juu ya Kifo cha mwanamke aliedhaniwa kufa kwa ugonjwa unaodhaniwa kufanana kwa karibu na Ebola.
Azar,akizungumza na wanahabari nchi Uganda amesema wanafuatilia suala hili kwa karibu na ni vizuri serikali ya Tanzania kuweka uwazi kwakua ni muhimu katika mapambano ya ugonjwa huu.
Aidha amesema juhudi zimafanywa kuhakikisha Tanzania inatimiza matakwa ya kimataifa ya shirika la afya duniani(WHO) kulinda afya za watanzania na watu wa ukanda mzima.
Serikali ya Tanzania ilitangaza Siku chache zilizopita kwamba hakuna ugonjwa wa Ebola nchini.