November 27, 2024, 9:50 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MALI ZA BENKI M ZA HAMISHIWA AZANIA BENKI BAADA YA KUFILISIKA
Benki Kuu ya Tanzania imehamisha mali na madeni yote ya benki M kwenda benki ya Azania Limited baada ya benki hiyo Kufilisika kwa kushindwa kujiendesha.
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt.Benard Kibese amesema benki M ilipewa zaidi ya miezi sita ijiendeshe kwa mujibu wa taratibu lakini ilishindwa kufanya hivyo. Amesema kinachoendelea kwa sasa ni kukamilishwa kisheria ili uhamisho huo uweze kukamilika kama unavyopaswa.