November 24, 2024, 4:24 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAHAKAMA YATOA AMRI YA KUKAMATWA ZITTO KABWE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imeamuru kukatwa kwa kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kwa kukiuka Masharti ya dhamana katika kesi yake ya uchochezi inayomkabili katika mahakama hiyo.
Hakimu Mkuu Mkazi, Huruma Shaidi ametoa agizo hilo Leo Jumatano Aprili 29, 2020 mara baada ya kiongozi huyo wa upinzani nchini Tanzania kushindwa kufika mahakamani hapo kwa ajili ya shauri lake.
Hakimu huyo alisema kuwa hata wadhamini wa mshtakiwa huyo hawakufika mahakamani hapo kueleza yanayomsibu mshtakiwa huyo (Zitto).
Mwanasiasa huyo anadaiwa kulihusisha Jeshi la Polisi katika mauaji ya zaidi ya watu 100 mkoani Kigoma.