November 26, 2024, 11:26 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAHAKAMA YA KENYA YARUHUSU NDOA YA JINSIA MOJA
Majaji wa Mahakama ya rufani nchini Kenya imeiruhusu Taasisi ya Mashoga nchini humo The Lesbian Gay Bisexual and Transgender (LGBT) community kusajiliwa na Bodi ya Usajili ya Asasi za Kiraia nchini Kenya.
Majaji hao wa rufani wakiongozwa na Jaji Philip Waki, Asike Makhandia na Martha Koome wamesema si sawa kuwazuia watu kuishi watakavyo nchini humo.
Katika taarifa ya uamuzi wao wamesema, mapenzi ya jinsia moja hayazungumzwi sana katika jamii lakini haimaanishi kuwa watu hao hawapo.
Wamesema watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wana haki na uhuru wa kujumuika pamoja bila ya kuvunja sheria