- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAALIM SEIF ACHILIWA KWA DHAMANA
Jeshi la Polisi limewachilia Huru kwa Dhamana Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa kamati ya Itikadi na uenezi wa Chama hicho Salim bimani mara Baada ya hii leo Januari 14, 2020 kuitwa kufanyiwa mahojiano na Jeshi hilo katika kituo cha Polisi mkoa wa kaskazini Pemba.
Wawili hao wanatuhumiwa na Jeshi la Polisi Zanzibar kufanya Mkutano wa ndani bila kibali, mnamo Dec 9, 2019 Micheweni Zanzibar
"Hata hivyo, walifanya Mkutano wa ndani usiohitaji kibali" alisema Afisa Habari wa chama Hicho Suphiani Juma
Maalim Seif leo baada ya Kutoka kituo cha Polisi alikutana na wafuasi wake wingi waliofurika njee ya kituo hicho wakimsubiri kwa hamu kutaka kujua nini kinachoendelea kwa kiongozi wao huyo.