Home | Terms & Conditions | Help

November 25, 2024, 5:36 pm

NEWS: LISSU BADO HALI TETE AKOSA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE

DAR ES SALAAM: Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia (Chadema) Tundu Lissu, amekosa Dhamana Baada ya Upande wa Jamhuri kuwasilisha Hoja ya kuzuiya Dhamana ya Mwanasheria huyo.

Upande wa Jamhuri Kupitia usiwasilisha Hoja hizo ni pamoja na Kwamba Mtuhumiwa huyo anatuhumiwa na kesi nyingi za aina hiyo Mahakamani.

Madai ya hoja nyingine ni kwamba ni kutokana na Mashtaka hayo Lissu kwamba Usalama wa Lissu ungekuwa mdogo endapo angepatiwa dhamana.

Upande wa Utetezi ulijibu hoja Hizo kwamba dhamana ni Haki ya Mtuhumiwa kutokana na Aina ya Mashtaka hayo.