Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 7:22 am

NEWS: LISSU AACHIWA KWA DHAMANA

DAR ES SALAAM: Mahakama ya kisutu imemwachia mwanasheria mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa dhamana na anatakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi Dar es salaam agosti 28 mwaka huu.

Lissu ameachiwa jana kwa dhamana baada ya kusota rumande kwa masaa 48

Lissu alikamatwa kutokana na tuhuma zinazokabili likiwemo la kutaja makosa ya rais hadharani na uchochezi.