November 26, 2024, 9:46 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: KOREA YA KASKAZINI YAJIBU KWA KEBEHI VIKWAZO VILIVYOWEKWA NA MAREKANI
Pyongyang: Korea Kaskazini kupitia waziri wake wa mambo ya Nje, Ri Yong-ho, imejibu hotuba ya rais wa Marekani Donald Trump, iliyotolea jana kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwamba ataisambaratisha Korea Kaskazini kama itahitajika kwa usalama wa Marekani na washirika wake Korea imeifananisha hotuba ya Trump na sauti ya mbwa anayebweka."Ikiwa Bw Trump anafikiri kuwa atatusambaratisha kwa sauti ya mbwa anayebweka basi hiyo kwake ni ndoto, " amesema Bw Yong-hi.
Marekani na Korea Kaskazini wanaendelea katika vita vya maneno, huku Korea Kaskazini ikindelea na mpango wake wa nyuklia na kukiuka maazimio ya Umoja wa Mataifa.Bwana Yog-hi anatarajiwa kutoa hotuba yake kwa Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa ya leo Tarehe September 20, 2017