Home | Terms & Conditions | Help

November 25, 2024, 12:46 pm

NEWS: KIMEBUMA NGELEJA ATAPIKA PESA ZA ESCROW

MWANZA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini,katika serikali ya awamu ya nne, ambaye pia ni Mbunge wa Sengerema (CCM) William Ngeleja ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu kurudisha fedha [tzs milioni 40.4 ] alizopewaga na ndugu James Rugemalira wa kampuni ya VIP engineering na marketing LTD.


NGELEJA amesema sababu za kurudisha fedha ni pamoja na nilipokea msaada kama wabunge wengine kwa nia njema bila kujua kwamba JAMES RUGEMALIRA baadaye amekuja kuhusishwa na kashfa ya fedha ya akaunti za escrow kama ilivyo sasa.