Home | Terms & Conditions | Help

November 27, 2024, 1:25 am

NEWS: KESI YA VIGOGO WA SIMBA YAPIGWA KALENDA


DAR ES SALAAM:
Kesi inayowakabili viongozi wa Klabu ya Simba imeendelea leo katika mahamaka ya mkazi kisutu jijini dar es salaam huku ikielezwa kuwa jalada ambalo limepekwa kwa DPP kwa lengo la kujiridhisha na uchunguzi halijarejeshwa hivyo kupelekea kesi hiyo kuairishwa

Vigogo hao wa simba ambao ni rais Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey wa Nyange maarufu Kaburu wanakabiliwa na mashtaka utakatishaji fedha.

Aidha upande wa utete wa viongozi hao wa simba wameiomba mahakama kesi hiyo itajwe tarehe za karibu, hivyo kesi hiyo imearishwa hadi oktoba 4 mwaka huu