- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: KAFULILA "NIMEFARIJIKA RAIS MAGUFULI KUTAMBUA JUHUDI ZANGU KWENYE IPTL"
Dar es salaam: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la kigoma kusi katika Bunge la 10 David Kafulila amempongeza Rais Magufuli kwa kutambua mchango wake wa kizalendo katika nchi ya Tanzania, Kafulila ameyasema hayo jana alipohojiwa na kitua cha Azam Tv baada ya Rais magufuli kumpa pongezi, kuwa na moyo wa kiazalendo kwenye sakata la IPTL amesema kuwa amefarijika sana na kwake ni heshima kubwa kwa Rais magufuli kutambua kazi kubwa aliyoifanya kama Mbunge
"Binafsi naona kama ni Heshima kubwa na Nimefarijika sana kwa sababu, jambo hili lilichukuwa sehem kubwa ya maisha yangu,na nijambo lililonitesa kuanzia kwenye mapambano ndani ya jimbo na Njee ya Jimbo langu, hii ilikuwa ni vita kali na vita kubwa ambayo unashukuru mungu kuona mpaka leo hii mimi nipo"
Kafulila aliendelea kusema kuwa anamatumaini yangu kuona Rais Magufuli ameonesha dhamira juu ya Jambo hilo "nimetumaini yangu sasa, Mh Rais kwa Dhamira hiyo hiyo ambayo ameionesha atachukua hatua za kutosha, ili kusudi atengeneze mfumo na taasisi za kiuchunguzi kwa maana ya kuimarisha ofisi ya DPP, na TAKUKURU,inamkono mrefu serekali inapaswa kufanya kazi ya kutosha kuwachukulia hatua wahusika wote walio husika"