Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 3:45 am

NEWS: JESHI LA WANANCHI JWTZ LAAPA KUWAADHIBU WATAKAO VURUGA AMAN

JESHI la wananchi wa Tanzania(JWTZ) limesema kuwa litawaadhibu wale wote watakaojaribu kuvuruga amani na usalama wa nchi na limetoa tahadhari kwa watu wote wanaotumia mapori vibaya kuacha kufanya hivyo mara moja vinginevyo watawachukulia hatua za kisheria.

Hayo yamesemwa Jana Agosti 12, 2019 na Mkuu Brigedia Jenerali,Julius Mkunda wakati akiahirisha zoezi la kijeshi la kujiweka tayari kwa wapiganaji wa jeshi kupambana adui anapotokea mkoani Kigoma "amani na usalama wa Watanzania ni lazime upewe kiupaumbele"

Askari wakiwa wanamsikiliza Mkuu.wa Brigedi ya kanda ya magharibi 202 KV Brigedia Jenerali Julius Mkunda wakati akihairisha mafunzo ya oparesheni kikukuu yaliyofanyika kwa siku 14 kwa Wilaya za Kakoko,Kasulu na Kibondo nakushangilia kwa morali baada ya zoezi walilokuwa..