- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: IDADI YA WAGONJWA WA CORONA ZANZIBAR IMEFIKA 58
Serekali ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza kuongezeka kwa visa vipya 23 vya watu wenye maambukizi ya Ugonjwa wa Corona(Covid-19), baada ya Maambukizi hayo mapya sasa Zanzibar inakuwa na jumla ya Wagonjwa wenye virusi vya Corona hamsini na nane(58) kutoka 35 baada ya Taarifa ya Wizara ya Afya visiwani humo ya mnamo Aprili 17, 2020.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara ya Afya visiwani Zanzibar iliyotolewa hii leo Jumapili Aprili 19, 2020, inasema kuwa kati ya wagonjwa hao wagonjwa 21 wanaishi Uguja na Wawili wanaishi Pemba.
Pia katika wagonjwa hao wagonjwa 21 ni Raia wa Tanzania na wawili ni Ria wa Kigeni ambapo mmoja ni kutoka Cuba na mwingine ni kutoka Ufaransa.
"Wagonjwa wawili kati ya wagonjwa wapya walifariki Dunia nyumbani kwao kabla ya Kuchukuliwa vipimo, hivyo kufanya jumla ya wagonjwa waliofariki kwa maambukizi ya Corona kufikia 3"- imesema sehemu ya Taarifa ya Wizara ya Afya Zanzibar