Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 8:52 am

NEWS: HATIMAYE WEMA KUFUNGUKA MAHAKAMANI JUNI 1

Dar es salaam: Hatimaye kesi ya mihadarati inayomkabili gwiji wa filamu nchini, Wema Sepetu, itaanza kusikilizwa Juni Mosi, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.

Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Thomas Simba, alifikia uamuzi huo kufuatia upepelezi kesi hiyo kukamilika, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Helleni Mushi.

"Upelelezi wa kesi hii umekamilika, naomba kmahakama ipangiwe tarehe ya kuanza kusikilizwa," ameleza Wakili Mushi.

sepetu, ni mmoja kati ya waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (..), akiwahusisha na biashara ya mihadarati na baadaye taarifa zika