- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: CHADEMA YATANGAZA SIKU RASMI YA UCHAGUZI MKUU
Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema kimetangaza rasmi tarehe ya Kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa Taifa wa chama hicho.
Akitangaza siku hiyo leo Jumatatu Novemba 18, 2019 Katibu mkuu wa chama hicho Dkt Vicent Mashiji Amesema chama hicho kitafanya Uchaguzi huo siku ya Tarehe 18 Decemba 2019.
"Mchakato tunaoanza nao sasa hivi ni kuchukua na kurudisha fomu za wagombea, huu mchakato inaanza kuanzia leo tar. 18/11/2019, wote ambao wangependa kugombea nafasi mbalimbali wanakaribishwa kuja kuchukua fomu, kujaza kwa ufasaha na kwenda kugombea" amesema Katibu Mkuu Dkt Mashinji
Dkt Mashiji amesema kuwa Siku hiyo ya Uchaguzi Mkuu, chama kitafanya na Mkutano Mkuu wa Taifa, "itakuwa tarehe 18 Dec. 2019, tushapeleka mialiko kwa watu mbalimbali, katika mambo mbalimbali tutakayoyafanya siku hiyo ni kuchagua viongozi wakuu wa Chama" amesema Dkt. Mashinji