- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BOT KUWACHUKULIA HATUA WANAOTUPA NOTI CHINI
Dar es salaam(MuakilishiTZ). Benki kuu ya Tanzania(BOT) imetishia vikali kuwachukulia hatua wale wote wenye tabia ya kuitupa noti ya Tanzania Chini au kuikanyanga noti hiyo au kuitunza jukwaani kwa mtu alieloa jasho kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria, " noti ni moja ya tunu ya Taifa".
BOT imesema itaanza kuwachukulia hatua wanaofanya hivyo mara moja.
"Hivi karibuni kumeibuka wimbi la vitendo ya matumizi mabaya ya noti katika shughuli mbalimbali za kijamii hususan kwenye sherehe za harusi ambapo watu wamekuwa na tabia ya kutunza wahusika wa matukio kwa kuwarushia noti zinazoanguka sakafuni a muda mwingine kukanyagia" imesema sehemu ya Taarifa hiyo ya Benki kuu ilitolea hii leo Octoba 28, 2021