November 25, 2024, 11:54 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BODI YA UDHAMINI SIMBA YATINGA MAHAKAMANI KUZUIA MKUTANO MKUU
Dar es salaam: Taarifa kutoka kwenye klabu ya simba zinasema kuwa bodi ya udhamini ya klabu hiyo imetinga mahakamini leo kufungua kesi kwenye mahakama ya hakim mkazi kisutu, mchana wa leo.
Bodi hiyo ikiongozwa na Mzee Hamisi Kilomoni imefungua kesi hiyo kuomba mahakama hiyo kuweka zuio la mkutano uliopangwa kufanyika Agosti 13, 2017