- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: AJALI MBAYA YA GARI MORO WATU 54 WAMEFARIKI
Lori la mafuta limelipuka katika eneo la Msamvu mjini Morogogoro, taarifa za awali ni kwamba inahofiwa kuwa idadi kubwa ya watu wamefariki katika ajali hiyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema zaidi ya watu 50 wamefariki Dunia
Baada ya Kutokea kwa ajali hiyo madereva wa bodaboda waliwasili eneo la tukio wakitaka kuokoa mafuta aina ya petroli.
Mji wa Morogoro ni moja ya njia kuu za malori yanayobeba shehena ya mizigo na mafuta kutoka bandari ya Dar es Salaam.
Bado haijafahamika lori hilo lilikuwa linamilikiwa na kampuni gani ya usafirishaji na iwapo lilikuwa linaenda nje ya Tanzania ama la.
Tutaendelea kukupasha juu ya mkasa huu wa ajali kadri taarifa zitakavyokuwa zinatufikia.