- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: AHUKUMIWA SIKU 7 JELA KUGOMA KUMPELEKA MWANAE KWENYE CHANJO
Marekani: Mama mmoja Rebecca Bredowmkazi wa Michigan nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha siku 7 jela baada ya kugomea agizo la mahakama la kutaka ampeleke mtoto wake wa kumzaa apatiwe chanjo.
Mama huyo hakuruhusu mtoto wake wa kiume wa umri wa miaka 9 apate chanjo baada ya makubaliano ya awali na baba wa mtoto ambaye ni Mumewe wa zamani ambae kwa sasa amepewa ruhusa ya kumtunza mtoto huyo kwa muda ili aweze kupata chanjo hiyo.
Bredow alikiuka sheria hiyo kwa sababu alikataa kutimiza makubaliano na mume wake wa zamani ya Novemba mwaka 2016 ya kuruhusu mtoto huyo apewe chanjo.Mama huyo wa watoto 2 alihukumiwa siku ya Jumatano kwa kupuuza amri ya mahakana ya wiki iliyopita ya kumtaka amruhusu mtoto wake apewe chanjo