November 24, 2024, 10:54 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: AFISA WA NIDA MBARONI KWA KUUZA NAMBA ZA VITAMBULISHO
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linawashikilia watu wawili, Afisa msajili msaidizi wa vitambulisho vya Taifa NIDA Mkoani humo,Haroun Mushi na wakala wa usajili wa moja ya kampuni za simu, Victor Vicent kwa tuhuma za kuwatoza wananchi Sh30,000 ili kupata namba za vitambulisho vya taifa NIDA
Naye Mushi, amekanusha tuhuma hizo za kushirikiana na wakala wa usajili wa laini za simu kuomba fedha wananchi, huku akikiri hua anampatia majina ya watu kwa ujumbe mfupi wa simu ya mkononi na kisha kumuangalizia namba za NIDA