Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 4:49 pm

MAONI YA FID Q BAADA YA BEN PAUL KUPOST PICHA YA UTUPU

Dar es salaam: Msanii wa bongo fleva Bernard Paul maarufu kama Ben Pol hivi karibuni amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupost kwenye mtandao wake wa instagram picha mbili zinazo muonesha utupu, Picha moja akiwa amevua nguo zote na kufungwa mikono kwa nyuma na kamba na nyingine ikimuonesha kwa mbele ya kifua akiwe amechorwa namba 3. Hit maker huyo wa wimbo wa PHONE amezua ngumzo kwa mashabiki na hata kwa wasanii wenzake.
Msanii wa Hip Hop mchini 'nguli' Farid Kubanda A.K.A Fid q ametoa maoni yake juu ya picha hizo mbili alizopiga Ben Paul, akihojiwa kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm kupitia segment ya U-Head, siku za juma ben paul amenukuliwa akisema kuwa yeye hafanyi kitu kinachohusu muziki bila kumshirikisha Fid q, hiyo ndo sababu mtangazaji Sudi brown akamtafuta Fid ili kujua kwenye kupost kule amehusika ''Basi ninayofuraha kuwapatia kuwa wimbo huo hakunifikia mimi, kwahiyo hiyo idea sihusiki nayo, na sijajua anataka kuogelea nini au anataka kufanya nini kwaiyo cover, na mimi sio mwepesi wa kujaji mtu''

alipoulizwa kuwa kama Ben paul angeleta wazo lake hili kabla ya kutoa hizi picha ungefanyaje, ''kama angeniletea na kujua mwisho ukoje binafsi huenda ningemruhusu afanye hivyo" alipoulizwa kama yeye anaweza kufanya hivyo fid alisema kuwa "inatengemea na mpango wangu wa mwisho na idea hiyo nataka kufanya nini'' Fid alimalizia kwa kuwashauri wasanii wenzake kuwa ''nijaribu kuwakumbusha tu wasanii kwamba mimi naongea nikiwa kama mmoja wa old school watu wa zamani sana tulifanya kazi ya ziada ya kuwabadilisha watu kuwa huu sio mziki wa wavuta bagi sio mziki wa kihuni na ilifanyika kazi ya ziada kuwabadilisha mpaka leo tunaheshimika mpaka tunaitwa kufanya kampeni" alimalizia Fid. alipotafutwa Ben pol mwenyewe alidai kuwa yupo sehemu ya makelele atampigia baadae.