- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
HABARI PICHA: WAZIRI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA AKIPANDA MITI KATIKA ENEO LA WIZARA HIYO
DODOMA: Katika juhudi za kumuunga Mkono Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Dodoma kuwa ya kijani Waziri wa katiba na Sheria Dr. Balozi Agostino Mahiga kwa kushirikiana na Watumishi wa Wizara hiyowamefanya zoezi la upandaji miti katika eneo la Wizara hiyo.
Katibu Mkuu wa Katiba na Sheria {wa kwanza} Prof. Sifuni Mchome akimuongoza Waziri wa Wizara hiyo kuelekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya upandaji miti Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leoWaziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akichagua miti kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti katika maeneo ya Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {katikati} akiandaa shimo kabla ya kupanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.
Zoezi hilo limefanyika leoeneo la Wizara hiyo Mtumba Jijini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {katikati} akiandaa shimo kabla ya kupanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akimwagilia mti baada ya kuupanda katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Katiba na Sheria {kushoto} Prof. Sifuni Mchome akimsaidia Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Balozi A. Mahiga katika zoezi la upandaji mti eneo la Wizara Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.
Afisa Ugavi wa Wizara ya Katiba na Sheria Amani Goha akipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo. Kushoto ni Mh. Dkt Balozi A. Mahiga Waziri wa Wizara hiyo.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari (HGCU) wa Wizara ya Katiba na Sheria Karimu Meshack akipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.
Mtumishi (Dereva) wa Wizara ya Katiba na Sheria Kassim Abdallah akipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.