Home | Terms & Conditions | Help

November 27, 2024, 9:44 am

FAIZA ALLY: WAKIFUNGA NDOA IVUNJIKE, SIJAPENDA KABISA

Jana Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu alimvisha peter na kutoa mahari kwa mchumba wake wasiku nyingi Happyness Msonga katika ghafla iliyofanyika Jijini Dar es salaam.

Muda mchache mara baada ya shughuli hiyo mzazi mwezie na Mbunge huyo Faiza Ali aliombwa na mashabiki zake kuzungumzia lolote kama maoni yake juu ya tukio hilo la Baba mtoto wake.

Kwanza faiza alishangaa kuwa Pete avalishwe mwingine lakini kwanini ana trend yeye, "kweli kuna watu wana tembelea nyota zawengine" alisema Faiza

Alipoanza kutoa maoni yake faiza amesema kuwa anawaombea Mungu uchumba usidumu , wakifunga ndoa ivunjike vunjike tena wakiachana wawe maadui wasionane wachukiane kishenzi, hajapenda hata kidogo, " kwa sababu bado nampenda sana baba Sasha na sijafurahiswa hata kidogo.."

"sema mpeni hongera bila ku mention Jina langu maana mnawafanya wawe wanyonge yaani bila jina langu hawatrend, kha kila sehemu Faiza Faiza Faiza tajeni basi jina la bibi harusi sio Faiza sugu Faiza sugu any way siwapi hongera za kinafki sijapenda ningependa niwe mimi na baba Sasha wangu ❤ haya kila baya liwashukie muachane urudi kwangu kipenzi changu tumalizie maisha Inshallah " alimalizia Faiza.